Vijana na ″magroup″ ya WhatsApp | Mada zote | DW | 10.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Vijana na "magroup" ya WhatsApp

Kuna usemi usemao "Makundi ya WhatsApp ni kama mchezo wa mpira wa miguu ambao huwajumuisha uwanjani wachezaji 22 na jukwaani kukawepo watu elfu sitini au zaidi ambao ni watazamaji." Lakini hebu tujiulize, ni raha zipi na vile vile ni karaha zipi za makundi haya?

Sikiliza sauti 09:43