1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wajane wa Kombe la Dunia

17 Juni 2014

Ushawahi kusikia kuhusu "Wajane wa Kombe la Dunia" ? Ni vipi wewe kama mume unavyoweka uwiano kati ya ushabiki wa kandanda na majukumu ya ndoa au familia?

https://p.dw.com/p/1CJZG
Kenianische Fußballfans vor dem TV
Picha: imago/Africa Media Online

[No title]

Kombe la Dunia linaendelea Brazil. Kwa wale wasioweza kusafiri kuangalia michuano 'live' uwanjani, watapata uhondo 'live' kwenye redio na TV. Lakini sasa, kuna baadhi ya wanawake ambao wanalalamika kuwa wakati huu mambo yao nyumbani hayawaendei vyema kwa sababu ya mpira. Wanadai wao sasa ni kama 'wajane'. Katika Vijana Mchakamchaka, Bruce Amani anauliza kama kuna 'Wajane wa Kombe la Dunia' na ni vipi unavyokabiliana na hali hiyo nyumbani kwako......wewe huficha remote control? Kuna sheria zozote ulizotunga nyumbani kwako wakati huu wa Kombe la Dunia?