1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana, mazingira na dunia ya kesho

10 Februari 2012

Uchafuzi wa mazingira unatishia sio tu usalama wa afya kwa wakati tulionao, bali pia mustakabali wa sayari ya dunia kwa miaka ijayo, ambapo kizazi kijacho kitajikuta kimekosa mahala salama pa kuendeshea maisha yao.

https://p.dw.com/p/141Yr
Uchafu na uchafuzi wa mazingira.
Uchafu na uchafuzi wa mazingira.Picha: picture-alliance/ dpa

Katika makala hii ya Mtu na Mazingira, Eric Ponda akiwa mjini Mombasa, Kenya, anazungumza na vijana kujua muamko wao katika kusafisha mazingira na kuilinda dunia kuwa salama kwa ajili yao na kwa kizazi kijacho. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Makala: Mtu na Mazingira
Mada: Vijana, mazingira na dunia ya kesho
Mtayarishaji: Eric Ponda
Mhariri: Othman Miraji