1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana kufuatilia ibada kupitia Televisheni au radio

1 Novemba 2017

Mtindo wa baadhi ya vijana kutohudhuria nyumba za ibada na badala yake kuangalia ibada hizo kupitia Televisheni na Radio. Je ni kwasababu ya kukua kwa teknolojia au nini hasa kinawasukuma vijana kufikia hali hiyo? Makala ni Vijana Mchakamchaka na Jacob Safari analitzama suala hilo kwa kina.

https://p.dw.com/p/2mr2A