Uzazi wa Mpango – Kipindi 7 – Usiwe na wasiwasi, nilisahau
16 Machi 2011
Eric anaendeleza mpango madhubuti wa mustakhabali wa maisha yake wakati ambapo dada yake Lorraine na mpenzi wake Sazi wanazungumzia juu ya vidonge vya kuzuia mimba. Eric anazungumza na mama yake juu ya uzazi wa mpango.