Uzazi wa Mpango – Kipindi 1 – Kizazi kipya, wajibu mpya?
16 Machi 2011
Mchezo wa redio uitwayo "Chini ya miembe" unazungumzia jinsi vijana wanavyoweza kuepukana na mimba, HIV na maradhi mengine ya zinaa. Desirée amefiwa na mama yake na anajaribu kuwalea watoto watano.