1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uvamizi wa majeshi ya Angola katika ardhi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

2 Machi 2007

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na ile ya Angola zimekubaliana kuunda tume ya pamoja kuchunguza taarifa za uvamizi wa majeshi ya Angola katika ardhi ya Kongo Kinshasa.

https://p.dw.com/p/CHJ5

Lakini wakati serikali hizo zikichukua hatua hiyo, taarifa zinasema kuwa wakongomani walioko nchini Angola katika maeneo yenye almasi wameendelea kufukuzwa. Na sasa wanakabiliwa na dhiki kubwa mpakani mwa nchi hizo mbili.

Kutoka Kinshasa Salehe Mwanamilongo anaripoti zaidi.