1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utekwaji Ghana

27 Februari 2018

Kijana Enoch Yeboah mwenye uraia wa Ghana aliuzwa kama mtumwa nchini Libya. Ni mmoja wa mamilioni ambao wanayahatarisha maisha yao kufunga safari hatari kuelekea Ulaya. lakini kwanini vijana wa Kiafrika wanayahatarisha maisha yao kuelekea Ulaya?

https://p.dw.com/p/2tQ7a