Uchumi na mazingira
Utandawazi – Kipindi 4 – Umasikini
Sikiliza ufahamu jinsi umasikini unavyosababisha idadi ya watu kupungua vijijini - uhamiaji mijini. Idadi kubwa wa watu wanaokimbilia mijini ni wasichana wadogo ambao wengi wao hutoa huduma kama wafanyakazi wa nyumbani.
Sikiliza Matangazo Yetu
Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa
Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com