1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utandawazi – Kipindi 3 – Miji Inayopanuka

25 Mei 2011

Miji imefurika kwa sababu watu wengi wanayahama mashamba yao kutokana na ukosefu wa nafasi za kujiendeleza. Miundombinu mijini haitoshi, hivyo kusababisha kuchipuka kwa maeneo ya madongo poromoka. Tunaelekea Nigeria.

https://p.dw.com/p/RHfh