Brazil iliishinda Korea Kaskazini mabao 2:1 katika mchuano ambao ulikuwa mgumu kwao
Blumer Elano wa Brazil akishangilia bao la pili alilotia katika wavu wa Korea Kaskazini
Ushindi wa Brazil dhidi ya Korea Kaskazini umezusha shangwe na nderemo katika barabara za mji wa Sao Paulo. Mohammed Abdulrahman ameungumza na shabiki mmoja wa soka, Mapande Gasi, ambaye kwanza anaelezea shamrashamra zilivyokuwa na hali ilivyo leo baada ya ushindi huo wa Brazil dhidi ya Korea kaskazini wa mabao 2-1.
Mahojiano Mohamed/Gasi Mapande (Sao Paulo)
Mpitiaji:Josephat Charo