Uraia kwa wageni nchini Ruanda
20 Agosti 2009Matangazo
Kwa mujibu wa katiba ya Rwanda raia wa nchi hiyo ana haki ya kuwa na uraia wa nchi mbili yaani Rwanda yenyewe na nchi nyengine yoyote ile.Utaratibu huu mpya unasimamiwa na Wizara ya Uhamiaji badala ya ile ya Sheria kama ilivyokuwa awali.Mwandishi wetu wa Kigali Daniel Gakuba alifika katika eneo la mtihani huo na ametuandalia taarifa ifuatayo.
Mtayarishaji : Gakuba,daniel
Mpitiaji:Mwadzaya,Thelma