UNITED NATIONS :Vikosi vya UN kuongezewa muda mpakani Ethiopia/Eritrea | Habari za Ulimwengu | DW | 31.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

UNITED NATIONS :Vikosi vya UN kuongezewa muda mpakani Ethiopia/Eritrea

Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa linatangaza kuwa mzozo wa mpaka kati ya mnchi za Ethiopia na Eritrea ambao haujatatuliwa unasababisha matattizo kwenye eneo hilo.

Baraza hilo linatoa wito kwa mataifa hayo mawili kuondoa vikosi vyao kwenye eneo la mpakani na kuidhinisha bila vikwazo kuongeza muda wa ujumbe wake kusimamia eneo hilo kwa miezi sita zaidi.Nchi ya Ethiopia ilipata uhuru wake mwaka 93 kufuatia vita vya msituni vilivyodumu miaka 30 huku eneo la mpakani likiachwa bila usimamizi rasmi.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com