Umoja wa Afrika na amani katika nchi za Maziwa Makuu | Matukio ya Kisiasa | DW | 14.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Umoja wa Afrika na amani katika nchi za Maziwa Makuu

Baraza la usalama na amani la Umoja wa Afrika, leo limekutana mjini Addis Ababa kuzungumzia maendeleo ya utekelezaji wa amani katika nchi za eneo la maziwa makuu.

Baraza la Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa

Baraza la Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa

Mwandishi wetu Anaclet Rwegayura kutoka Addis Ababa anaripoti zaidi.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com