Umesikia nini kumhusu Ahmed Baba | Mada zote | DW | 29.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Asili ya Afrika

Umesikia nini kumhusu Ahmed Baba

Timbuktu uliposhambuliwa, na kudhibitiwa na Sultani wa Morocco, Ahmed Baba alipelekwa Marrakesh ambapo aliruhusiwa kufundisha na kuandika. Ametunga zaidi ya vitabu 50.

Tazama vidio 01:27