1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 50 baada ya uhuru, bado kuondoa umasikini ajenda kuu

Yusra Buwayhid25 Septemba 2015

Siku ya 28 ya kampeni za uchaguzi mkuu nchini Tanzania na bado masuala muhimu ya kuwafanya wananchi waamue kiongozi na chama cha kuwaongoza baada ya uchaguzi wa Oktoba 25 ni yale yale.

https://p.dw.com/p/1GdRZ
Katuni ya mchoraji katuni wetu ikiashiria uhamaji vyama vya siasa kuelekea uchaguzi mkuu.
Katuni ya mchoraji katuni wetu ikiashiria uhamaji vyama vya siasa kuelekea uchaguzi mkuu.

Mambo gani muhimu ambayo yanawavutia wapiga kura nchini humo katika uchaguzi wa mwaka huu? Richard Shaba, mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Dar es Salaam, anazungumza na Yusra Buwayhid. Kusikiliza mazungumzo hayo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mhariri: Gakuba Daniel