Ulemavu uliwahi kuwa kigezo kikubwa cha mtu kukosa haki zake za kijamii na hasa mwenye ulemavu anapokuwa ni mwanamke, hali ilikuwa mbaya zaidi, lakini sasa wanawake wenye ulemavu nchini Tanzania wanajaribu kuuvunja udhalilishaji huu kwa kujisaidia wenyewe na kuwasaidia wenzao. Ambatana na Ahmad Juma kujuwa namna wanawake hao wanavyojiinuwa kimaisha.