Ukosefu wa Chakula kaskazini mwa Uganda | Matukio ya Kisiasa | DW | 28.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Ukosefu wa Chakula kaskazini mwa Uganda

Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WFP limesema hali ya watu walioko kwenye za Kaskazini mwa Uganda huenda ikawa mbaya kutokana na ukosefu wa chakula.

Watu wakisubiri kupatiwa chakula na Shirika la Mpango wa Chakula WFP

Watu wakisubiri kupatiwa chakula na Shirika la Mpango wa Chakula WFP

Mwandishi wetu Omar Mutasa kutoka Kampala ametuletea ripoti zaidi.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com