Chama cha wanansheria wa Tanganyika nchini Tanzania TLS kimesema kuwa chombo hicho si mali ya umma kama alivyoeleza jaji mkuu wa Tanzania profesa Ibahim Juma mbele ya rais John Magufuli, bali chama hicho ni cha kitaaluma
Eliud Kipchoge wa Kenya ameshinda mbio ndefu za London Marathon kwa mara ya tatu mfululizo
Bayern yaisubiri kwa hamu Real Madrid katika mtanange wa Champions League wa kulipiza kisasi.
Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com