Ukeketaji wa wanawake ni kinyume na maumbile | Masuala ya Jamii | DW | 10.02.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Ukeketaji wa wanawake ni kinyume na maumbile

Kampeni dhidi ya ukeketaji nchini Guinea-Bissau.

Kampeni dhidi ya ukeketaji nchini Guinea-Bissau.

Mila ya ukeketaji wa wanawake inayofuatwa na baadhi ya jamii duniani inaelezwa kuwa ni hatari sana kwa afya na maendeleo ya wanaokeketwa kama inavyosimulia makala hii ya Salma Said. Kusikiliza makala hiyo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Makala: Mwanamke na Maendeleo
Mada: Ukeketaji dhidi ya Wanawake
Mtayarishaji/Msimulizi: Salma Said
Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada