1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukeketaji utakwisha lini?

6 Februari 2018

Kila mwaka dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya kupambana na ukeketaji. Tanzania ni moja ya nchi ambazo zimekuwa zikichukua hatua kutokomeza mila na utamaduni unaoendana na vitendo hivi  vya ukeketaji. 

https://p.dw.com/p/2sBxf
Vifaa vya ngariba
Picha: picture alliance/dpa/EPA/UNICEF/HOLT

MMT_J2.06.02.2018_ International zero tolerance of FGM-INTERVIEW EDA SANGA - MP3-Stereo

DW imezungumza na mkurugenzi wa shirika la waandishi wa habari wanawake Tanzania TAMWA ambalo limekuwa pia msitari wa mbele katika kuongoza harakati za kupinga vitendo hivyo, Eda Sanga, na kwanza tumemuuliza iwapo kuna mafanikio yaliyopatikana hadi sasa katika harakati hizo.