1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini DRC

18 Aprili 2013

Ujumbe wa Umoja wa mataifa uliopo Jamhuri ya Kidemokrasia wa Kongo wakamlisha ziara ya wiki moja nchini humo.

https://p.dw.com/p/18IYl
Wakazi wa Goma
Wakazi wa GomaPicha: Reuters

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa uliotembelea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutathmini kazi inayofanywa na kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kusimamia amani nchini humo, leo unakamilisha ziara yake ya karibu wiki moja, ambayo imewapatia fursa wajumbe hao kuelewa hali inayojiri katika mkoa wa Kivu ya kaskazini,mashariki mwa nchi hiyo.

John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Goma.Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

:

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi