1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani na China kuongeza ushirikiano

Lilian Mtono
1 Juni 2017

Ujerumani na China zanuia kupanua wigo wa mashirikiano, Rais Donald Trump aiondoa Marekani kwenye mkataba wa mabadiliko ya tabianchi na Kenya yaadhimisha miaka 54 ya kujitawala.

https://p.dw.com/p/2dzFp