1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhamiaji – Kipindi 10 – Mjerumani nchini Uganda

22 Machi 2011

Sio Waafrika tu wanaohamia Ulaya; baadhi ya Wazungu pia huamua kuishi Afrika. Kama alivyofanya Roberta Wagner, Mjerumani, ambaye majaliwa yake yamemleta Uganda. Tega sikio usikie hadithi yake.

https://p.dw.com/p/QpoF