1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ugonjwa wa kubambuka midomo

21 Desemba 2012

Iwe nyakati za baridi kali au msimu wa pepo na jua kali, iwe Afrika au Ulaya, ugonjwa wa watu kubambuka midomo na hatimaye kufanya vidonda, ni maarufu, unaotesa, lakini unaweza kukingwa na hata kutibika.

https://p.dw.com/p/177bc
Midomo.
Midomo.Picha: picture-alliance / OKAPIA KG

Grace Kabogo anazungumzia ugonjwa maarufu wa kubabuka midomo ambao huwakumba watu wa nchi za joto na za baridi. Kwa msaada wa madaktari bingwa makala hii inakuelezea njia za kuuepuka na hata za kuutibu ugonjwa huu.

Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Makala: Afya Yako
Mtayarishaji: Grace Kabogo
Mhariri: Josephat Charo