1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ugiriki na Macedonia zasaini makubaliano ya jina

Daniel Gakuba20 Juni 2018

Ni nadra kusikia nchi mbili zikizozania jina moja na mzozo ukachukua miaka na miongo. Hichi ndicho kilichotokea kati ya nchi mbili majirani za Kusini mwa Ulaya, Ugiriki na Macedonia. Kwa muda wa zaidi ya robo karne, majirani hao wamekuwa na vuta nikuvute kuhusu jina Macedonia, lakini saa muafaka umepatika, ingawa hauungwi mkono na wote. Mwangaza wa Ulaya inauangazia mzozo huo kwa undani.

https://p.dw.com/p/2zu0H