1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Polisi wakamata kalenda zinazomilikiwa na shirika lisilo la kiserikali

29 Februari 2012

Polisi imezikamata kalenda 700,000 kwenye mpaka wa Uganda na Tanzania wa Mutukula ambazo wanasema zinalenga kuchochea ghasia nchini Uganda.

https://p.dw.com/p/14BpA
Kalenda zakamatwa nchini Uganda
Kalenda zakamatwa nchini UgandaPicha: DW

Kalenda hizo zinamilikiwa na shirika lisilo la serikali liitwalo *Twaweza* ambalo linasema lengo lake ni kuwaelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa kujitegemea ikiwa watayaboresha maisha yao badala ya kuitegemea serikali na mashirika mengine. Tayari Mkurugenzi wa "Twaweza" nchini Uganda amehojiwa na maafisa wa upelelezi kuhusu lengo lake la kuchapisha kalenda hizo.

Mwandishi wetu mjini Kampala Leylah Ndinda ana maelezo zaidi.

(Kusikiliza ripoti hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Leylah Ndinda

Mhariri: Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi