1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Uganda: Kuchunguzwa kwa kampuni ya mafuta ya Uingereza ya Tullow

Baadhi ya wabunge nchini Uganda wameanza kukusanya saini kutoka kwa wabunge wenzao, raia na mashirika yasio ya kiserikali ili kushinikiza bunge la Uingereza kuchunguza kampuni ya mafuta ya uingereza yaTullow.

Rais Yoweri Museveni wa Uganda

Rais Yoweri Museveni wa Uganda

Kampuni hiyo inalaumiwa kwa kushirikiana na rais Yoweri Museveni kukiuka maazimio ya bunge ya kusitisha mipango yote ya serikali katika sekta hii.

Mafuta yaligunduliwa nchini Uganda mwaka wa 2006. Mwandishi wetu wa Kampala Leylah Ndinda na habari zaidi.

(Kusikiliza ripoti hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi :Leila Ndinda

Mhariri: Mohammed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada