1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Kamanda wa waasi wa LRA akamatwa

14 Mei 2012

Jeshi la Uganda limemtia mbaroni kamanda mwandamizi wa muasi Joseph Kony ambae anaongoza kundi la waasi wa LRA Caesar Acellam.

https://p.dw.com/p/14uv6
Kamanda Caesar Achellam wa kundi la LRA Uganda
Kamanda Caesar Achellam wa kundi la LRA UgandaPicha: Reuters

Tukio hilo ambalo liliambatana na mkasa wa kufyatuliana risasi limetokea huko Jamhuri ya Afrika ya Kati. Kanali Felix Kulaije ni Msemaji wa Jeshi la Uganda, na Sudi Mnette alimuuliza wamefanikiwa kwa kiasi gani katika operesheni hiyo.

(Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Othman, Miraji