1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchimbaji mchanga waangamiza fukwe za Afrika

Mohamed Karama Dahman22 Machi 2017

Kipindi cha Mtu na Mazingira kinaangazia namna uchimbaji mchanga kwa ajili ya miradi ya ujenzi unavyohofiwa kuangamiza pwani za Afrika, na kuharibu fukwe ambazo ni vivutio vikubwa katika maeneo hayo.

https://p.dw.com/p/2ZiVr