1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uamuzi wa kesi ya uchaguzi Kenya Ijumaa

30 Agosti 2017

Matokeo ya kesi ya kupinga uchaguzi nchini Kenya yatarajiwe Ijumaa, Kadhia za kimbunga "Harvey" zaifanya mamlaka kuweka marufuku ya kutotoka nje Houston na Mafuriko mengine yasababisha vifo vya zaidi ya watu 500 nchini India. Papo kwa Papo 30.08.2017

https://p.dw.com/p/2j6Yx