1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Tuzo ya Oscar yaenda kwa Lupita Nyong'o wa Kenya

Wakenya huko Kenya na walioko nchi za ng'ambo wanaendelea kusherehekea ushindi wa Mwana wa Seneta Anyang' Nyongo, Lupita Nyong'o ambaye ametuzwa tuzo ya kifahari ya filamu - tuzo inayojulikana kama Oscar nchini Marekani.

Lupita Nyong'o kutoka Kenya akiifurahia Tuzo yake.

Lupita Nyong'o kutoka Kenya akiifurahia Tuzo yake.

Lupita ni binti wa Mjumbe wa baraza la Seneti nchini Kenya ,Seneta Peter Anyang Nyong'o.

Mwandishi wetu Alfred Kiti kutoka Nairobi na taarifa zaidi. Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini

Mwandishi: Alfred Kiti

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada