Tukio 04 – Kumsubiri mfanyikazi mwenza mpya | Radio D Teil 1 | DW | 24.08.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D Teil 1

Tukio 04 – Kumsubiri mfanyikazi mwenza mpya

Wafanyikazi wa kitengo cha uhariri cha Radio D wanamsubiri Philipp. Paula na Ayhan, watakaofanya kazi na Philipp, wanajifurahisha. Philipp haonekani na simu hazifanyi kazi.

Philipp yuko wapi?

Philipp yuko wapi?

Philipp amechelewa sana kwa sababu ya hali mbaya ya hewa. Anajaribu kumpigia simu Paula ili amjulishe, lakini hampati. Philipp anatatizika zaidi kwa sababu ya simu anayopokea kutoka kwa mama yake.

Philipp anaomba radhi kwa kuchelewa kwake. Katika tukio hili, utasikia misemo tofauti ya kuomba radhi na kutoa udhuru.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa