1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Trump na Kim kukutana

9 Machi 2018

Rais wa Marekani Donald Trump amekubali kufanya mkutano wa kwanza wa kihistoria na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un katika hatua ya kushangaza ya mzozo mkali wa nyuklia kati ya Marekani na Korea Kaskazini. Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Korea Kusini Chung Eui-yong ndiye aliyetangaza kuhusu mkutano wa kwanza kabisa kuwahi kufanyika kati ya rais wa Marekani na Kiongozi wa Korea Kaskazini.

https://p.dw.com/p/2u1oV