1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Trump kutangaza kama Marekani itaondoka kwenye makubaliano ya nyuklia ya Iran

John Juma
8 Mei 2018

Rais wa Marekani Donald Trump ambaye amekuwa mkosoaji mkubwa wa mkataba wa nyuklia unaoyahusisha mataifa makubwa, anatarajiwa kutangaza ikiwa nchi yake itaachana na mkataba huo au la.

https://p.dw.com/p/2xNlb