1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Thamani ya mbwa wa kulelewa nyumbani Ujerumani

John Juma28 Desemba 2016

Je ni kwa kiwango gani unawathamini wanyama unaoishi nao nyumbani kama marafiki. Nchini Ujerumani, wanyama hawa wanathaminiwa sana, mfano mbwa na paka. Inakadiriwa Wajerumani wanatumia Euro bilioni 4 kila mwaka, kuwatunza wanyama wao wanaoishi nao majumbani. Makala ya sura ya Ujerumani inaangazia hali hiyo.

https://p.dw.com/p/2Uwnc