1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Teknolojia mpya ya DRM yazungumziwa mjini Kigali

8 Desemba 2006

Mkutano wa kwanza wa kimataifa barani Afrika kuhusu teknolojia ya mawasiliano ijulikanayo kama digital radio, kwa njia ya DRM kwa ufupi, unaendelea mjini Kigali, Rwanda.

https://p.dw.com/p/CHlx
Aina ya redio ya DRM
Aina ya redio ya DRMPicha: Sangean

Siku ya tatu ya mkutano huu, leo Ijumaa, wajumbe wa redio mbali mbali za kimataifa wamejadiliana juu ya teknolojia mpya ya kupeperusha habari na matanganzo kupitia DRM. Kwa habari zaidi sikiliza ripoti ya Christopher Karenzi akiwa Kigali.