1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tarime yapambana na ukeketaji

2 Februari 2017

Mila za kukeketa wasichana Tanzania bado zipo licha ya elimu kutolewa. Mwaka 2016 zaidi ya mabinti 800 wa Wilaya ya Tarime pekee walikeketwa na wengine 300 wakikimbia majumbani wakogopa kukeketwa.

https://p.dw.com/p/2WqFE
Maandamano kupinga ukeketaji Tarime
Picha: DW/V. Natalis

Tarime yapambana na ukeketaji

Wasichana waliokeketwa wakitembezwa mitaani Wilayani Tarime
Mabinti wa koo mbali mbali za kabila la Kikurya waliotoka kufanyiwa ukeketaji wakiwa wanatembezwa barabarani kama ishara kuwa wamekamilika baada ya kukeketwa.Picha: DW/V. Natalis

                       

Bango la kupinga ukeketaji
Bango la kupinga ukeketajiPicha: DW/V. Natalis
Maandamano ya kupinga ukeketaji Wilayani Tarime
Mabinti kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania na nchi jirani ya Kenya wakiwa wamehifadhiwa katika kambi ya Masanga TFGM baada ya kukimbia kukeketwa. Wamebeba mabango yenye ujumbe wa kupinga mila ya ukeketaji.Picha: DW/V. Natalis