1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tarehe: 25.12.2017 Matangazo ya mchana

Isaac Gamba
25 Desemba 2017

Tuliyo nayo ni pamoja na : Papa Francis azungumzia hali ya wakimbizi katika salaam zake za Krismasi// Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeir awahimiza wananchi kuwa na subira// Israel yakaribisha uamuzi wa Guatemala kuhamishia ubalozi wake Jerusalem.

https://p.dw.com/p/2pv5A