1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania- Zoezi la uandikishaji wapiga kura kisiwani Pemba

17 Agosti 2009

Kisiwani Pemba, tume ya uchaguzi ya Zanzibar ilikutana na vyama vya kisiasa kuzungumzia matatizo yaliochomoza katika baadhi ya maeneo katika zoezi la kuandikisha watu katika daftari la kudumu la wapiga kura.

https://p.dw.com/p/JCvm
Matatizo hayo yamepelekea kusimamishwa zoezi hilo katika maeneo hayo. Othman Miraji alipiga simu huko Pemba kutaka kujua kilichojiri katika mkutano huo wa leo, na alimpata Bwana Khalifa Mohammed, mwenyekiti wa chama cha upinzani cha CUF katika wilaya ya Wete. Mwandishi: Othman Miraji Mhariri: Aboubakary Liongo