1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yaonywa kuhusu usafirishaji haramu wa binadamu

9 Juni 2016

Serikali ya Tanzania imetoa takwimu zinazoonyesha raia wake wanavyoendelea kutumbukia kwenye wimbi la biashara haramu za usafirishaji binadamu ambao wanarubuniwa na kupelekwa nchi za Asia na za Kiarabu.

https://p.dw.com/p/1J3jU
Mhanga wa biashara haramu ya binadamu
Picha: picture alliance/AP Photo