Tanzania: Wanaume wanawawezesha wanawake | Masuala ya Jamii | DW | 12.04.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Tanzania: Wanaume wanawawezesha wanawake

Wanaume wa Tanzania wamewezasha wanawake kufikia mafanikio katika ngazi za uongozi licha ya changamoto kadhaa. Hayo ni kwa mujibu wa utafiti uliotambulishwa katika kongamano la wanawake Dar es Salaam.

Sikiliza sauti 02:32

Ripoti ya Hawa Bihoga kutoka Dar es Salaam

Sauti na Vidio Kuhusu Mada