1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania na Brazil zashirikiana kupiga vita malaria

Josephat Nyiro Charo7 Juni 2010

Brazil na Tanzania kutumia mchuano wao wa kirafiki kuhamasisha jamii kuhusu juhudi za kupambana na kuuangamiza ugonjwa hatari wa malaria

https://p.dw.com/p/NkCh

Washiriki na viongozi wa Hazina ya kimataifa iliyotengwa kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa Malaria leo wameuzindua mkakati wa kukabiliana na ugonjwa wa Malaria katika hafla iliyofanywa nchini Tanzania.

Mchakato huo unajumuisha shirika la kandanda duniani, FIFA, na Timu za taifa za Tanzania na Brazil zitakazochuana katika mechi iliyotarajiwa kwa hamu kubwa.

Mwandishi, Njogopa

Mhariri, Othman Miraji