1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Muongozo mpya kwa wasafiri wanaotumia meli kwenda Zanzibar

15 Agosti 2012

Nchini Tanzania mamlaka inayosimamia misafara ya meli imetoa muongozo mpya kwa ajili ya wasafiri wanaotumia vyombo vya baharini kufuatia mfululizo wa ajali za meli zilizogharimu maisha ya watu.

https://p.dw.com/p/15pqL
Meli za Abiria zinazotoa huduma kati ya Daresalaam na visiwani Zanzibar kuimarishwa.
Meli za Abiria zinazotoa huduma kati ya Daresalaam na visiwani Zanzibar kuimarishwa.Picha: AP

Je, muongozo huu utapunguza ajali hizi ambazo zinaonekana kukosa ufumbuzi kwa sasa? Iddi Ssessanga amezungumza na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Azam Marine na Coastal Ferries, Hussein Mohammed Said, na kwanza alianza kumuelezea madhumuni ya muongozo huo.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Iddi Ismail Ssessanga

Mhariri: Othman Miraji