1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Mauaji Pwani yazua wasiwasi

18 Aprili 2017

Wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani kumeripotiwa kuwa askari 10 na viongozi 11 wa vijiji wameuawa na watu wasiojulikana. Vyombo vya usafiri vimezuiliwa nyakati za usiku huku upelelezi ukiendelea.

https://p.dw.com/p/2bPzX
Polisi Tanzania
Picha: picture-alliance/AP Photo/Khalfan Said

M M T/ J3.18.04.2017 Interview alarm as killings escalate in coastal distri - MP3-Stereo

DW imezungumza na Diwani wa Kata ya Kibiti, Hamidu Ungando, na kwanza anaeleza hali hasa ikoje katika wilaya hizo za mkoa wa Pwani.