Tanzania: Matokeo ya uchaguzi mdogo wa Jimbol la Igunga | Matukio ya Kisiasa | DW | 03.10.2011
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Tanzania: Matokeo ya uchaguzi mdogo wa Jimbol la Igunga

Nchini Tanzania, uchaguzi mdogo umehitimishwa katika jimbo la Igunga mkoani Tabora kwenye Kanda ya Ziwa.

default

Matokeo yaonyesha hadi sasa Chama cha CCM kinaongoza

Uchaguzi huo umefanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika mazingira yaliyokuwa na ushindani mkubwa. Zoezi hilo limepita baada ya mbunge wa eneo hilo kijiuzulu . Kwa sasa shughuli ya kuhesabu kura inaendelea Igunga. Ili kuipata picha halisi Thelma Mwadzaya amezungumza na Doto Bulendo, mwandishi wa habari aliyeko Igunga kwenyewe.

Mwandishi: Thelma Mwadzaya

Mhariri: Othman Miraji

 • Tarehe 03.10.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/12kq4
 • Tarehe 03.10.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/12kq4

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com