1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Matokeo ya Mtihani

1 Machi 2012

Baraza la Mtihani la Tanzania latangaza matokeo ya mtihani wa Kidato cha nne

https://p.dw.com/p/1400K
Schulklasse in Afrika
Wanafunzi wakiwa darasani nchini TanzaniaPicha: Christine Harjes

Pamoja na kuonesha kuwa asilimia 53.59 ya wanafunzi 426,314 waliofanya mtihani huo wamefaulu, wengine kiasi cha 3,301 wamefutiwa matokeo kutokana na vitendo vya udanganyifu.

Kutokana na matokeo hayo Sudi Mnette amezungumza na Meneja wa Habari na Utetezi kutoka Haki Elimu nchini humo, Nyanda Shuhe ambae imetoa tathmini ya shirikia hilo na kutaka kila upande kuanzia mzazi kushiriki katika kuboresha kiwango cha elimu. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama za spika ya masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohammed Khelef