Tanzania: Mahojiano na waziri wa Mambo ya Kigeni Bw.Bernard Membe kuhusu mzozo wa Libya | Matukio ya Kisiasa | DW | 07.12.2011
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Tanzania: Mahojiano na waziri wa Mambo ya Kigeni Bw.Bernard Membe kuhusu mzozo wa Libya

Serikali ya Tanzania imeelezea kusikitishwa kwake na mgawanyiko unaojitokeza ndani ya Umoja wa Afrika katika kufikia makubaliano ya masuala mbalimbali.

membe.jpg Tanzania's Foreign Minister Bernard Membe arrives for a one-day meeting of the International Contact Group on Somalia at a hotel in Dar Es Salaam, Tanzania, Friday, Feb. 9, 2007. U.S., European, African and Arab diplomats on Friday emphasized the need for all-inclusive talks on the future of Somalia to ensure stability in the Horn of Africa nation. (AP Photo/Khalfan Said)

Waziri wa mambo ya Kigeni na ushirikiano wa kimataifa Bw.Bernard Membe

Akizungumza huko Dar es Salaam, Tanzania, waziri wa mambo ya kigeni wa nchi hiyo, Bernad Membe, amesema hali hiyo inasikitisha sana, akitolea mfano katika mzozo wa Libya.

Kutoka Dar es Salaam Aboubakary Liongo ametutumia taarifa ifuatayo.

Mwandishi Aboubakar Liongo

Mhariri Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 07.12.2011
 • Mwandishi
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13O6l
 • Tarehe 07.12.2011
 • Mwandishi
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13O6l

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com