Tanzania: Mahojiano na Mbunge Hamad Rashid wa chama cha CUF baada ya kufukuzwa uanachama | Matukio ya Kisiasa | DW | 05.01.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Tanzania: Mahojiano na Mbunge Hamad Rashid wa chama cha CUF baada ya kufukuzwa uanachama

Baada ya chama cha CUF nchini Tanzania kumfukuza uwanachama mbunge Hamad Rashid , mbunge huyo aibuka na kusema yeye bado mwanachama halali wa chama hicho.

CUF’s Sansibar Präsidentschaftskandidat, Seif Sharif Hamad, beim Gespräch mit Journalisten, nachdem der das Formular für seine Kandidatur bei der Sansibar Wahlkommission (ZEC) abholte (5.Juni 2010) Stichwort: Sansibars Präsidentschaftskandidat, Zanzibar Presidential Candidate, Seif Sharif Hamad

Makamo Rais wa kwanza wa Zanzibar na katibu mkuu wa chama cha CUF Seif Shariff Hamad

Anaeleza mambo yakiwa mabaya zaidi upande wake ataanzisha chama kipya cha siasa.

Sudi Mnette amezungumza na Mbunge huyo wakati akifanya mkutano wake na waandishi wa habari muda mfupi uliyopita jijini Dar es salaam.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com