Tanzania: Mahakama yaahirisha swala la mbunge Hamad Rashid wa CUF | Matukio ya Kisiasa | DW | 19.01.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Tanzania: Mahakama yaahirisha swala la mbunge Hamad Rashid wa CUF

Mahakama Kuu nchini Tanzania imetoa muda zaidi kwa chama cha upinzani nchini Tanzania, CUF, kuzipitia hoja za waliowafukuza kutoka chama chao, akiwemo Mbunge wa Wawi, kisiwani Pemba, Hamad Rashid.

Fahne der Oppositionspartei Civic United Front (CUF) Stichwort: Tansania, Opposition, CUF, Civic United Front, Tanzania

Bendera ya chama cha upinzani cha CUF

Shauri hili lilipangwa kusikilizwa leo, na sasa linatarajiwa kusikilizwa Machi 17. Hamad Rashid, kama mtuhumu, alikuwepo mahakamani na nilizungumza nae baada ya Jaji Agostino Shango wa mahakama hiyo kuliahirisha shauri hilo.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Miraji Othman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com